MASHABIKI WA EVERTON WAMEPATA KIPIGO IKIWA NI PAMOJA NA KUPIGWA RISASI ZA MIPIRA PAMOJA NA MABOMU YA MACHOZI WAKATI WALIPOFANYA VURUGU NCHINI UFARANSA WALIPOKWENDA KUISAPOTI TIMU YAO ILIPOKUWA IKICHEZA NA LILLE. JUHUDI ZA VYOMBO VYA HABARI VYA UINGEREZA KUWASAPOTI ILIKUWA KUBWA SANA, LAKINI UKWELI UNAONYESHA MASHABIKI HAO HAWAKUTAKA KUWASIKILIZA ASKARI HAO.
0 COMMENTS:
Post a Comment