Mshambuliaji Diego
Costa wa Chelsea ameingia kwenye hofu ya kucheza kucheza mechi dhidi ya Man
United wikiendi hii.
Costa
amekimbizwa hospitali moja mjini London baada ya kupatwa na maumivu makali ya
tumbo.
Gazeti la The
Sun limeeeleza kwamba amegundulika kuwa virusi ambavyo vilisababisha kuwa na
maumivu hayo makali.
Hata hivyo
bado haijajulikana kama hali yake ni nzuri au la ingawa baadaye gazeti la Daily
Telegraph lilisema alikuwa anaendelea vizuri.
0 COMMENTS:
Post a Comment