Mshambuliaji wa zamani wa
Liverpool ambaye aliichezea timu yake ya taifa ya Uholanzi kwa takribani muongo
mmoja, ameendelea kuonyesha mapenzi kwa taifa lake.
Kuyt alitupia picha kwenye
mtando wa kijali akiangalia mechi ya kimataifa Uholanzi ikiitwanga Kazakhstan
kwa mabao 3-1 akiwa na wanaye watatu.
Akaandika: “Kuyt katikati,
Kuyt kulia, Kuyt kushoto, nawatakia kila la kheri wana.”
Alikuwa akiwatakia kila la
kheri wachezaji wa Uholanzi, yeye akiwa Uturuki ambako anaicheze Fenerbahce.









0 COMMENTS:
Post a Comment