October 14, 2014


Andres Iniesta amempiku Cristiano Ronaldo na kutwaa tuzo ya unyayo wa dhahabu.

Tuzo hiyo imetolewa jana jijini Monaco, Ufaransa na kawaida yake mtu hushinda tuzo hiyo mara moja tu.
Aliyekuwa anaishikilia alikuwa ni Didier Drogba aliyeichukua mwaka jana akiwa Galatasaray ya Uturuki.


Pamoja na Ronaldo, Iniesta aliwapiku wachezaji wengi walioingia fainali ambao ni Wayne Rooney, Manuel Neuer, Andrea Pirlo,Thiago Silva, Franck Ribery, Yaya Toure,Thierry Henry na Marta.

Kawadia waandishi hufanya uchaguzi wa kupata wachezaji kumi wa mwisho, baada ya hapo kura hupigwa kupitia mtandao kupata mshindi.


2003 - Roberto Baggio, Brescia
2004 - Pavel Nedved, Juventus
2005 - Andriy Shevchenko, AC Milan
2006 - Ronaldo, Real Madrid
2007 - Alessandro Del Piero, Juventus
2008 - Roberto Carlos, Fenerbahce
2009 - Ronaldinho, AC Milan
2010 - Francesco Totti, Roma 
2011 - Ryan Giggs, Manchester United
2012 - Zlatan Ibrahimovic, PSG
2013 - Didier Drogba, Galatasaray
2014 - Andres Iniesta, Barcelona 




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic