October 31, 2014


 Ilikuwa furaha kubwa kwa mashabiki wa mpira wa kikapu katika mji wa Cleveland kutoka na nyota LeBron James kurejea katika kikosi chao na ndiyo mji aliozaliwa.

Lakini katika mechi ya NBA, nyota huyo alishindwa kuikomboa Cleveland iliyolala kwa pointi 95-90 dhidi ya New York Knicks.
LeBron James amekuwa na mafanikio makubwa akiwa na Miami Heat kwa misimu mine huku akichukua uchezaji bora wa NBA mfululizo.
Le Bron James alifanikiwa kufunga pointi 17 tu katika mchezo huo. Hata hivyo anatarajiwa kurejea na kuwa katika kiwango cha juu zaidi.












0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic