December 31, 2014

HUYU NI MTOTO WA MKURUGENZI MTENDAJI WA BIN SLUM TYRES LTD, NASSOR BIN SLUM. NAYE ALIKUWA AMEJITUPIA NDANI YA UZI WA MBEYA CITY KAMA ANAVYOONEKANA AKIFUNGA MWAKA 2014 NA KUINGIA 2015. ANGALIA CHINI WAHUSIKA WENGINE WA KAMPUNI HIYO INAYOIDHAMINI MBEYA CITY KUPITIA BETRI ZAKE BORA ZA RB WALIVYOJIACHIA NA JEZI ZA MBEYA CITY WAKIFUNGA MWAKA.

MABOSI WENGINE WA KAMPUNI HIYO MAARUFU, KATIKATI NI MOHAMMED BIN SLUM.

HATA UKIWA NA KITAMBI, UBORA WA UZI UNANG'ARISHA ZAIDI...

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic