December 31, 2014

MDAU EVANS MHANDO (KATIKATI) AKISHEREKEA MWAKA MMOJA NA WADAU WENGINE NCHINI CHINA, LEONARDO DA SILVA (KUSHOTO) RAIA WA GUINEA BISAU NA GIVEN MASAWE AMBAYE PIA NI MTANZANIA. 
Usishangae, tayari nchini China ni mwaka mpya wa 2015. Mdau Evans Mhando amekuwa mmoja wa Watanzania wa mwanzo kuuona mwaka mpya.



Mhando ambaye yuko masomoni China ni mdau mkubwa wa blog hii, mmoja wa waandishi mahiri wa michezo. Anajulikana wakati 'akikamua' TBC.

Amewatumia salamu za kheri wadau wa SALEHJEMBE pamoja na wadau wote wa michezo nchini huku akisema: "China tayari, tumeingia mwaka 2015, kila la kheri kwenu nyumbani."
Acha tuusubiri na sisi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic