Wachezaji wa Liverpool, wakiwemo wa zamani na wa
sasa na mechi walizoichezea timu hiyo.
Kutoka kushoto kwenda kulia; Ron Yeats, Roger
Hunt, Ian Callaghan, Phil Thompson, Phil Neal, Alan Kennedy, Alan Hansen, Kenny
Dalglish, Ian Rush, Robbie Fowler, Jamie Carragher, Steven Gerrard, Raheem
Sterling na Jordan Rossiter.
Hapa walihudhuria upanuzi wa Uwanja wa Anfield.
Mbele ni Kocha Brendan Rodgers na Mkurugenzi Mtendaji, Ian Ayre.
|
0 COMMENTS:
Post a Comment