GERRARD, LALLANA MASHUJAA LIVERPOOL IKIITULIZA LEICESTER CITY 3-1 KWAO Liverpool imeendelea kupata uhai baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 katika mechi ya Ligi Kuu England. Liverpool ikiwa ugenini imeichapa Leicester City na mashujaa ni nahodha Steven Gerrard, Adam Lallana na J.Henderson. Bao la wenyeji lilitokana na kipa wa Liverpool, Simon Mignolet kujifunga.
0 COMMENTS:
Post a Comment