Simba imemaliana na wachezaji wake wawili
raia wa Uganda, Simon Sserunkuma na beki Juuko Murishid ambao wameingia mkataba wa
miaka mitatu.
Kamati ya usajili ya Simba, imepitisha
mkataba wa wachezaji hao wawili baada ya kuwaona jana wakiichezea Simba katika
mechi dhidi ya Yanga, juzi.
Maana yake, Pierre Kwizera na Amissi Tambwe
wanatupiwa virago.
0 COMMENTS:
Post a Comment