January 29, 2015



Kiungo Gabriel Paulista amejiunga na Arsenal na wachambuzi wengi wa Hispania wametabiri atatoa msaada mkubwa Emirates.


Paulista amejiunga na Arsenal akitokea Villarreal ya Hispania napamoja na fedha pauni milioni 11.2 Arenal imemtoa mshambuliaji wake Joel Campbell aende kwa mkopo katika timu hiyo.

Raia huto mwenye umri wa miaka 24, anaamini kuwa mmoja wa viungo bora na wachamguzi wa soka katika gazeti la Marca na AS wamesema Kocha Arsene Wenger ametupa jicho lake sehemu sahihi.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic