Mshambuliaji Samuel Eto'o wa
Everton yuko nchini Italia katika harakati za mwisho kujiunga na klabu ya Sampdoria.
Eto’o yuko nchini humo kwa
ajili ya kufanya vipimo vya afya kabla ya kujiunga na klabu hiyo inayoshiriki Serie
A.
Tayari Everton chini ya
Kocha Roberto Martinez imekubali kumuachia straika huyo mwenye umri wa
miaka 33 aondoke Goodison Park.
0 COMMENTS:
Post a Comment