PIQUE, SHAKIRA WAFANYA BONGE LA PATI, MASTAA WAKIONGOZWA NA MESSI WAHUDHURIA Beki Gerard Pique na mzazi mwenzake Shakira wamefanya bonge la pati kusherekea miaka miwili ya mtoto wao Milan. Wachezaji kibao wa Barcelona, wakiongozwa na Lionel Messi, Luis Suarez na wapenzi wao walihudhuria pati hiyo iliyokuwa na ulinzi mkali.
0 COMMENTS:
Post a Comment