Pamoja na kupoteza mchezo, Sampdoria
wa;itoa kali wakati wa kuanza mechi ya Serie A.
Sampdoria inayofundishwa na
nyota wa zamani wa Lazio, Sinisa Mihajlovic, wachezaji wake wote walikaa kwenye
mstari mmoja.
Hivyo kutengeneza mfumo wa
0-0-10 wakati wa kuanza mechi dhidi ya Lazio.
Picha ya uanzaji wa mechi
hiyo imekuwa kifutio kikubwa mitandaoni leo.








0 COMMENTS:
Post a Comment