February 25, 2015


Pamoja na kwamba Emmanuel Adebayor anakaa benchi mara nyingi, lakini ameamua kuonyesha alichonacho.
Namba imekuwa si kitu cha uhakika kwake katika kikosi cha Tottenham.


Adebayor raia wa Togo ameamua kuonyesha mchuma anaomiliki aina ya Rolls-Royce.


Gari hilo lina thamani ya pauni 360,000, hivyo kumfanya mmoja wa wachezaji wanaomiliki magari ghali katika wachezaji wa Ligi Kuu England.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic