February 4, 2015

Licha ya kwamba Kampuni ya Bin Slum Tyres Ltd kuachana na Coastal Union, lakini mashabiki kibao wa timu hiyo walivaa jezi zenye nembo ya kampuni hiyo.


Licha ya Coastal Union kupoteza kwa bao 1-0 dhidi Yanga kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga, mashabiki hao walizidi kuonyesha mapenzi yao kwa timu hiyo wakiwa na jezi za Bin Slum tena wakishangilia kwa aina yao.

Walikuwa wakigeuka na kuanza kuonyesha migongo yao huku wakiwa na baadhi ya mabango, moja likisomeka “Tanga kwanza”.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic