August 29, 2020

16 COMMENTS:

  1. suti katila raba za kukimbilia...Gongowazi bwana :-d :-d

    ReplyDelete
  2. Wacha ushamba kama ujui kuvaa wewe uliza watu wanavyo vaa suti,

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha umbumbumbu msemo wa Eymael..
      wewe uliona wapi watu smart wanavaaa suti za rangi ya bluu na raba za gym nyeupe...
      basi onyesheni ulofa kamili na stahiki kwa kuvaa suti za kijani na kandambili za njano au hata vice versa ni poa tuu!

      Delete
  3. Gongowazi wamependeza kwa suti nyeusi na viatu vyeupe. Wazitunze vizuri. Wazitunze ikiwa baada ya miaka pindi wskiuonja ubingwa waweze kuzivaa tena

    ReplyDelete
  4. Kweli hawa kandambili suti na raba wangevaa za manjano ndio rangi yao

    ReplyDelete
  5. Utopolo mshakuwa manesi, mnavaa raba, acheni ushamba suti hazivaliwi na raba na isitoshe mmeitelekeza na rangi yenu ya team au mmeazima?

    ReplyDelete
  6. Mikia aka mbumbumbu fc acheni kukariri.. Kwan wapi iliandikwa kwamba suti haiwezi valiwa na raba??? Hakika Rage aliwajua na kuwaita mbumbumbuuuuuuuj

    ReplyDelete
  7. Mikia wanaona wivu vijana wa GSM walivyo pendeza.Ukijani na unjano ni uwanjani ndipo Nazi itafanyika

    ReplyDelete
  8. Namsikitikia Mwanyeto sana sijui nani aliyempoteza njia

    ReplyDelete
  9. Mtaumia saana mikia make huu na huyo mwarabu wenu was nguruka

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic