February 1, 2015

 Wenyeji wa michuano ya Afcon, Equatorial Guinea wamefuzu hatua ya nusu fainali kwa kuwang’oa vigogo Tunisia


Shujaa wa wenyeji hao ni winga wa zamani wa Real Madrid, Javier Balboa aliyefunga bao la pili katika dakika za nyongeza na kuipa timu yake ushindi wa mabao 2-1.

Ubingwa huo ulipatikana katika dakika 12 za nyongeza katika mechi hiyo katika mji wa Bata na kuamsha sherehe kubwa kwa wenyeji waliokuwa hawapewi nafasi

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic