March 19, 2015

Watu wa soka wana mambo yao. Sasa wameibuka na mpya kwamba mguu wa mshambuliaji nyota wa Barcelona, Lionel Messi una ubongo.


Picha ya kibonzo kikionyesha Messi akipimwa na profesa mmoja imezua gumzo mitandaoni.

Hii ni katika kuonyesha kukubaliana na kiwango cha juu alichokionyesha Messi wakati wa mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Manchester City, jana.


Messi alikuwa moto wa kuotea mbali na kuiongoza Barcelona kushinda kwa bao 1-0 na kujihakikisha nafasi katika robo fainali.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic