March 19, 2015


Kocha Mkuu wa AFC Leopards ya Kenya, Zdravko Logarusic amesema anahitaji kubeba ubingwa.


Loga amesema angependa kubeba makombe akiwa nchini humo kama alivyofanya katika timu yake ya zamani ya Gor Mahia.

Kocha huyo aliyewahi kuinoa Simba kabla ya kufukuzwa amesema anajua kutakuwa na ugumu lakini anataka makombe na ameishajiandaa.

“Haitakuwa kazi lahisi, ligi ya Kenya ina ushindani sana. Lakini nataka makombe kwa Leopards,” alisema.


Loga amesema anakiamini kikosi chake ingawa ni mwanzo lakini amekuwa akiwaambia wachezaji wake kuwa lazima wabebe makombe.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic