March 19, 2015

Kocha Pep Guardiola wa Bayern Municho ameonyesha shabiki mkubwa wa ‘tobo’.


Jana alikuwa akiinuka na kushangilia kila mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi alivyokuwa akiwapi ‘mitobo’ wachezaji wa Man City wakati wa mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.


Alifanya hivyo kwa Fernandinho na James Milner. ‘Mitobo’ hiyo imezua gumzo kwenye mitandao mbalimbali.

Guardiola alimfundisha Messi akiwa Barcelona kabla ya yeye kuondoka na kujiunga na Bayern Munich.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic