Kati ya pambano la
ngumi lililowavutia mashabiki wa ngumi waliojitokeza kwenye Ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar, jana ni lile kati ya Mada maugo dhidi ya Japhet kaseba.
Wawili hao
walionyeshana kazi ile mbaya kila mmoja akitawala wakati wake.
Lakini ngumi
iliyommaliza Kaseba katika raundi ya nane na kushindwa kuinuka ndiyo ilikuwa
gumzo zaidi.
0 COMMENTS:
Post a Comment