HIVI NDIVYO COASTAL UNION WALIVYOJIFUA LEO KWENYE UWANJA WA MKWAKWANI Kikosi cha Coastal Union, kimeendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga, leo. Chini ya James Nandwa raia wa Kenya, Coastal waliendelea kujifua kujiandaa na Ligi Kuu Bara.
0 COMMENTS:
Post a Comment