March 26, 2015


Mohammed Matumla ametamba ni lazima kesho bondia mchini Wang Xin Hua raia wa China atakaa mapema.


Lakini Hua amejibu mapigo na kusema haitakuwa lahisi na anachoamini Matumla atakaa kwa KO.

Ushindi huo utamalizwa kesho kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Mohammed amekuwa akinolewa baba yake mzazi Rashid Matumla ambaye alikuwa bondia mahiri na aliyeshinda mataji mawili ya dunia kwa nyakati tofauti.

Tayari pambano hilo limevuta hisia za watu wengi ambao wanataka kuona kama kweli Mohammed maarufu kama Muddy ataweza kufuata nyayo za baba yake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic