Mjumbe
wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Musley Al Rawah alikuwa kati ya waliokuwa
uwanjani wakati Simba ikipoteza dhidi ya Mgambo Shooting kwa kufungwa kwa mabao
2-0.
Katika
picha inaonekana Musley kama akijaribu kuangalia saa kupitia simu yake. Lakini
muda unayoyoma, hakuna dalili za Simba kusawazisha. “Aaah, ndiyo soka,
utafanyaje sasa.”







0 COMMENTS:
Post a Comment