March 7, 2015


Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe ameungana na aliyekuwa kocha wake, Patrick Phiri na kusema kweli hakutaka yeye aachwe.

Tambwe amesema anaamini kuachwa kwake kulitokana na baadhi ya viongozi wenye chuki na wasiojua mpira na si Phiri ambaye hivi karibuni Rais wa Simba, Evans Aveva alisema kocha huyo Mzambia ndiye alitaka aachwe.


 “Jambo hili mbona lipo wazi, Phiri wanamsingizia kabisa wala hakuhusika kwa lolote, aliyehusika Aveva mwenyewe anamjua, hivyo siyo busara wakamsingizia baba wa watu.”

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic