March 28, 2015

Asikudangaye mtu kwamba Mchina, Wang Xiang alikuwa laini, lakini sifa zimuendee kinda Mohammed Matumla.


Matumla alifanya kazi kubwa nay a ziada kumshinda Xiang ambaye alionyesha kiwango kizuri.
Ushindi wake wa pointi kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, hakuwa na ubishi.

Lakini Mchina huyo, aliwapa hofu Watanzania waliokuwa ukumbini hapo kutokana na kiwango kikubwa alichokionyesha.
UNATOA HIVI, HALAFU...

UNAPIGA HIVI.....

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic