UNAKUMBUKA TAMBWE ALIVYOIFUNGA YANGA, JE, ATAIFUNGA SIMBA LEO? MOJA YA MABAO MSHAMBULIAJI MRUNDI AMISSI TAMBWE ALIYOWAHI KUIFUNGA YANGA WAKATI AKIWA SIMBA. LEO ANAKUTANA NA SIMBA AKIWA YANGA NA SWALI JE, ATAWEZA KUIFUNGA SIMBA PIA AMBAYO ILIMUACHA IKIAMINI NI MSHAMBULIAJI BUTU?
0 COMMENTS:
Post a Comment