| MALIMA AKIFURAHIA USHINDI WA SIMU YAKE MPYA AINA YA NOKIA YA KISASA KABISA... |
Wanamichezo mbalimbali nchini wameshauriwa kutumia simu za Nokia
ambazo ni imara zaidi.
Wameshauriwa kutumia simu hizo anaina ya Nokia Lumia 435 na Microsoft
Lumia 532 kutokana na uimara lakini ubora na pia bei
lahisi.
Bosi mkubwa wa Tabasamu Consaltancy, Lucy Kihwele ambao wanahusika
na kufikisha ujumbe kwa jamii kuhusiana simu hizo za kisasa na bei lahisi
amesema wanamichezo wanaweza kuzitumia na kufaidika nazo kama ambavyo wanajamii
wengine wamekwua wakifaidika.
“Wanamichezo ni watu wanaoweza kufaidika na simu hizo bora na bei
lahisi za Nokia. Kuna applications nyingi zinazhusu michezo. Kwa kifupi ni simu
bora zinazompa mtumiaji kila anachohitaji.
“Utaona kumekuwa na kasi kubwa ya kuzinunua. Hii inatokana na ubora
na kile watu wanachokipata. Vizuri watuw akajaribu na kuona,” alisema.
Freddy Malima alikuwa
kati ya watu wa kwanza kabisa kufanikiwa kushinda zawadi ya simu hizo mpya za
Nokia ambazo sasa ni gumzo. Rasmi zilizinfuliwa Januari mwaka huu.
















0 COMMENTS:
Post a Comment