April 18, 2015



Mmiliki wa Chelsea, Roman Abramovich alishindwa kuficha furaha yake leo wakati timu yake ilipoibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Manchester United.


Abramovich raia wa Urusi alionekana ni mwenye furaha ile mbaya baada ya mechi kwisha huku akishangilia kila wakati.


Lakini hali ilikuwa tofauti kwa kocha wa zamani wa Manchester United, Alex Ferguson aliyeoonekana mtulivu akifuatilia kila kitu katika mechi hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic