Bao la Yaya Toure halikuweza kuiokoa
Manchester City kukutana na kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Crystal Palace.
Bao hilo lilibaki kuwa la kufutia machozi
huku yale yaliyofungwa na Glenn Murray na Puncheon yakiipa Palace ushindi huo murua.
Kipigo hicho cha ugenini, maana yake City
inazidi kuyumba katika mbioni za kutetea ubingwa na sasa inajikita katika
nafasi ya tatu huku Arsenal ikibaki namba mbili.
Crystal
Palace: Speroni,
Ward, Dann, Delaney, Kelly, Zaha, Ledley, McArthur, Bolasie, Puncheon,
Murray.
Subs: Hangeland, Sanogo, Hennessey, Gayle, Ameobi, Boateng, Souare.
Subs: Hangeland, Sanogo, Hennessey, Gayle, Ameobi, Boateng, Souare.
Man
City: Hart,
Sagna, Kompany, Demichelis, Clichy, Jesus Navas, Fernandinho, Toure,
Silva, Aguero, Dzeko.
Subs: Zabaleta, Fernando, Milner, Nasri, Caballero, Lampard, Mangala.
Subs: Zabaleta, Fernando, Milner, Nasri, Caballero, Lampard, Mangala.
Referee: Michael Oliver (Northumberland)
0 COMMENTS:
Post a Comment