MCHEZO WA MIELEKA UMEPATA UMAARUFU MKUBWA NCHINI SENEGAL LICHA YA WAZUNGU KUUPINGA NA KUDAI NI WA KIKATILI SANA. LAKINI WASENEGALI HUWEZI KUWAELEZA KITU KWA KUWA WANATAKA KUONA WANAUME WAKIONYESHA KAZI KAVUKAVU. UWANJA WA DEMBA DIOUP NDIYO MAARUFU KWA KAZI HIYO. CHEKI BAADHI YA PICHA ZA MAPAMBANO... |
0 COMMENTS:
Post a Comment