Barcelona imeonyesha
imepania kumaliza La Liga kwa kasi ya kimondo na kubeba ubingwa baada ya
kuitwanga Getafe kwa mabao 6-0.
Kama kawaida shukurani kwa
Luis Suarez aliyefunga mabao mawili, Lionel Messi mawili na Neymar aliyefunga
moja na Xavi Harnandes akamalizia moja.
Kwa ushindi huo Barcelona
imefikisha pointi 84 na kuzidi kujichimbia kileleni huku Real Madrid
wanaowafuatia wakiwa na 79 lakini pungufu mchezo mmoja.
|
0 COMMENTS:
Post a Comment