ANGALIA VIDEO; HIVI NDIVYO WABOGOJO ALIVYOSHANGILIA UBINGWA WA YANGA TANZANIA BARA Msanii Wabogojo ameshindwa kujizuia na kuamua kushangilia ushindi wa Yanga kwa nguvu zote. Wabogojo ambaye ni msanii wa sarakasi, ameonyesha mapenzi yake kwa kikosi cha Yanga kwa kushangilia huku akiwa amevaa jezi za Yanga. Angalia video.
0 COMMENTS:
Post a Comment