April 23, 2015

CANNAVARO (KUSHOTO) AKISHUHUDIA MAZOEZI YA YANGA KWENYE UWANJA WA KARUME JIJINI DAR, LEO.
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' ameshindwa kufanya mazoezi na wenzake kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar, leo.



Cannavaro ambaye ni majeruhi, sasa ataikosa mechi dhidi ya Ruvu Shooting kesho ambayo itakuwa ni ya pili mfululizo katika Ligi Kuu Bara.

Cannavaro aliyeumia katika mechi dhidi ya Etoile du Sahel, aliikosa mechi ya ligi dhidi ya Stand United ambayo Yanga ilishinda kwa mabao 3-2.

Leo alikuwa kati ya wachezaji waliojumuika kwenye Uwanja wa Karume lakini akiwa kama mtazamaji.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic