April 21, 2015


Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm ameamua kumpumzisha kipa wake, Ally Mustapha ‘Barthez’.

Katika mechi yao leo kati ya Yanga dhidi Stand United kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, Deogratius Munish ‘Dida’ ndiye atakayeanza.


Dida amekuwa akisubiri katika benchi kwa muda mrefu sasa na leo atakuwa na kazi ya ziada kuendelea kumshawishi Pluijm ambaye ni kipa wa zamani mahiri.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic