Cristiano Ronaldo ameendelea kung’ara baada ya
kuiwezesha Real Madrid kushinda mabao 3-0 dhidi ya Elbar.
Ronaldo amefunga bao moja huku mshambuliaji
Javier Harnandez maarufu kama Chicharito akiibuka na kufunga sambamba na Jesse.
Real inaendelea kufukuzaka kwa kasi kubwa na
Barcelona kuwania ubingwa wa La Liga.
Real Madrid: Navas, Arbeloa, Varane, Ramos
(Pepe 64'), Marcelo (Nacho 65'), Modric (Borges 61'), Illarramendi, Isco, Jese,
Hernandez, Ronaldo
Subs not used: Casillas, Benzema, Carvajal,
Munoz Jimenez
Goals: Ronaldo 21, Hernandez 31', Jese 83'
Eibar: Xabier Irureta, Castellano Castro,
Anibarro, Rodriguez Navas, Vila Rosello Booked, Fernandez, Garcia, Carrillo
(Boateng 77'), Capa, Berjon Perez (Arruabarrena 45'), Lara Grande, Del Moral
Fernandez (Piovaccari 66')
Subs not used: Ekiza, Lekic, Minero Fernandez,
Jimenez Merlo
Booked: Arruabarrena, Rosello, Boateng
Ref: Alejandro Jose Hernandez
Att: 73,965
0 COMMENTS:
Post a Comment