Siku
moja tu baada ya kuibeba Real Madrid na kufunga bao lililoiwezesha kusonga hadi
kwenye nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, sasa West Ham inamtaka
mshambuliaji Javier Harnandez ‘Chicharito’.
West
Ham imeonyesha nia ya kumpata mshambuliaji huyo wa zamani wa Man United.
Hata
hivyo haijajulikana kama Real Madrid watakuwa tayari kumuachia katika kipindi
ambacho ameanza kuonyesha makali.
0 COMMENTS:
Post a Comment