April 24, 2015


Mashabiki wa Arsenal wametoa kali ya mwaka baada ya kutaka uongozi uliondoe bango la Cesc Fabregas kwenye Uwanja wa Emirates.


Mashabiki hao wametaka bango la nahodha wao huyo wa zamani liondolewe kabla hajatua hapo akiwa na Chelsea wikiendi hii.

Wamesisitiza lazima liondolewe kwa kuwa anarejea akiwa mpinzani wao mkubwa.


Fabregas raia wa Hispania aliichezea Arsenal kwa mafanikio makubwa kabla ya kuondoka mwaka 2011 na kujiunga na Barcelona lakini akarejea England na kujiunga na Chelsea ambayo sasa inapambana na Arsenal kuwania ubingwa wa Ligi Kuu England.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic