Hatimaye bondia Kiatchai Singwancha
kutoka Thailand amekubali kupanda ulingoni kuzichapa na Francis Cheka.
Singwacga aligoma kpigana kwa madai
alikuwa hajhamaliziwa fedha zake.
Awali aligoma kutoka hotelini, lakini
baadaye akakubali na kufunga safari hadi nje ya Ukumbi wa PTA ambako alibaki
kwenye gari hadi alipomaliziwa fedha na kuamua kuingia ulingoni, game
inaendelea.
0 COMMENTS:
Post a Comment