Bayern Munich imefanikiwa kulipa kisasi kwa
kuifunga Barcelona kwa mabao 3-2 katika mechi ya pili ya Ligi ya Mabingwa
Ulaya.
Lakini hiyo haijaipa nafasi ya kucheza fainali ya
Ligi ya Mabingwa Ulaya itakayopigwa jijini Berlin Juni 6 na Barcelona ndiyo
wanakwenda.
Barcelona wamevuka kwa jumla ya mabao 5-3 kutokana
na ushindi wa mabao 3-0 wakiwa nyumbani Camp Nou katika mechi ya kwanza.
0 COMMENTS:
Post a Comment