HII NI HATARI, VITA YA MABAO MESSI NA RONALDO... ANGALIA CHATI YA WAFUNGAJI WA MUDA WOTE WA LIGI YA MABINGWA ULAYA. LIONEL MESSI ANAONGOZA AKIFUATIWA NA CRISTIANO RONALDO. HAWA JAMAA WATAUANA, DAH! SIJUI HII MWISHO WAKE WAPI, HASA WAKIINGIA WOTE FAINALI...
0 COMMENTS:
Post a Comment