May 1, 2015

 
MSITARI WA JUU WALIOPIGANA NA MAYWEATHER, MSITARI WA CHINI WALIPOPIGANA NA PACQUIAO.
Wakati Floyd Mayweather na Manny Pacquiao wanakutana keshokutwa alfajiri katika pambano la ngumi linalosubiriwa kwa hamu kubwa, kuna mabondia watano wanaelezea sura ya pambano hilo.


Mabondia hao watano wamewahi kukutana na Mayweather pia Pacquiao kwa nyakati tofati. 

Mayweather alishinda mapambano yote matano na Pacquiao alipoteza moja dhidi ya Juan Manuel Marquez.

Kivutio ni kwamba pamoja na Paqcuioa kupoteza pambano moja, lakini kila aliloshinda anaonekana kuwachakaza vibaya wapinzani wake.

MABONDIA HAO WATANO:

OSCAR DE LA HOYA
RICKY HATTON
JUAN MANUEL MARQUEZ
SHANE MOSLEY

MIGUEL COTTO

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic