HIVI NDIVYO MAN CITY WALIVYOMUAGA FRANK LAMPARD BAADA YA KUITWANGA SOUTHAMPTOM 2-0 Man City leo wamefanikiwa kumaliza Ligi Kuu England kwa kuichapa Southampton kwa mabao 2-0. Wachezaji na viongozi nao wakamuaga Frank Lampard ambaye anaondoka na kwenda kuanza maisha mapya nchini Marekani. Cheki mwenyewe.
0 COMMENTS:
Post a Comment