May 15, 2015

Mshambuliaji asiyeisha vituko wa Liverpool, Mario Balotelli ametozwa faini ya pauni 800 pamoja na kufungiwa kuendesha gari kwa siku 28.

Balotelli amekutana na adhabu hiyo baada ya kubainika aliendesha gari kwa kasi ya maili 109 kwa saa. Sheria ikafuata mkondo wake kupitia wahusika nchini England.


Muitaliano huyo alifanya hivyo na alipokamatwa akakubali kosa hilo wakati akiendesha gari lake la kifahari aina ya Ferrari lenye thamani ya pauni 240,000.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic