Picha za kuvutia Steven
Gerrard akiwa na mkewe Alex katika kampeni maalum ya Carribean iliyofanywa na
Shirika la Ndege ya Uingereza maarufu kama British Airways.
Gerrard na mkewe walikuwa
kama wanasafiri na huenda picha hizo zilizua maswali mitandaoni, wengi
wakiamini ndiyo alikuwa anaondoka.
Wakati wa majira ya joto,
Gerrard ataondoka England kwenda kujiunga na LA galaxy ya Marekani ikiwa ni
miaka 17 ya kuichezea Liverpool.
Tayari tiketi kwa ajili ya
mechi ambayo Gerrard ataagwa zimeanza kuuzwa na wengi wamekuwa wakijitokeza.
0 COMMENTS:
Post a Comment