May 12, 2015

Wakati Barcelona na Bayern wamemalizana leo, kazi inabaki kwa Real Madrid dhidi ya Juventus.

Cristiano Ronaldo ndiye tegemeo la Madrid kuing’oa Juventus ambayo haipaswi kudhalauliwa hata kidogo.
Ronaldo amefanya mazoezi na wenzake huku akionekana kuwa fiti na msuli wake, nomaa.


Je, Juventus wataweza kumzuia asiwamalize. Si mechi lahisi, lazima wapambane kila upande.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic