May 24, 2015


Kiungo wa Mbeya City, Peter Mwalyanzi amejiunga na Simba ya Dar es Salaam.


Mwalyanzi amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba leo jijini Dar.

MWalyanzi amesaini mkataba huo mbele ya Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe, makamu wake Kassim Dewji na mjumbe Collins Frisch.


Simba imefanikiwa kumsainisha Mwalyanzi huku Yanga ikiwa imemchukua kiungo mwingine wa Mbeya City, Deus Kaseke.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic