Kampuni ya vifaa vya michezo ya Adidas imetengeneza kiatu maalum atakachovaa nyota Lionel Messi wakati wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Messi aaaa kiatu hicho
Juni 6 wakati Barcelona ikiivaa Juventus katika Uwanja wa Olympia jiijini Berlin,
Ujerumani.
Viatu hivyo vyeusi
vimetengenezwa kwa aina yake huku vikiwa na njumu zinazomsaidia kuongeza kasi.
Tayari Messi ameifungia
Barcelona mabao 58 katika michuano yote na anapewa nafasi kubwa ya kuibeba timu
yake usiku huo.
0 COMMENTS:
Post a Comment