Kiungo Alex Song
amerejea Barcelona baada ya kumaliza msimu akikipiga West Ham kwa mkopo na mtu
wa kwanza aliyeungana naye alikuwa Neymar.
Neymar ni kati ya
washikaji wa karibu wa Song na waliungana pamoja huku wakiwa wamevaa kofia na
fulana zinazofanana.
Song amemaliza msimu
katika Ligi Kuu England akiitumikia West Ham.
0 COMMENTS:
Post a Comment